Habari za Punde

Mvua Zaanza kunyesha Zenj.....

Wafanyakazi wa Manispa ya Zanzibar  wakiweka taizi katika maeneo ya ukingo wa barabara ya michezani raund about ili kuimarisha njia za watembea kwa miguu katika eneo hilo. Hii ni moja ya kuimarisha miundombinu ya barabara kuweka katika mazingira mazuri na yenye ubora.
Mvua ilionesha leo katika mji wa Zanzibar na vitongoji vyake ilileta madhari madogo katika miundombinu ya barabara za njia za mji mkongwe kama inavyonekana picha moja ya njia ya watembea kwa miguu katika mtaa wa mkunazini iliharibika kwa maji ya mvua ilionyesha kwa muda wa kama nusu saa ikiwa na mangurumo na radi zilizopiga mfulilizo na kuwatia wasiwasi wananchi kutokana na radi hizo abazo hazijawahi kupika katika visiwa vya Zanzibar. 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.