Wananchi wakipata huduma ya kununua umeme katika kituo cha Tukuza michezani, Kituo hicho hutowa huduma ya mannunuzi ya Umeme hadi saa nne usiku, na wananchi wanataka huduma hiyo iegezwe muda hadi saa tano usiku. ili waweze kupata huduma hiyo kwa uhakika wakati wanapochelewa makazini.
ALLY HAPI AZINDUA KAMPENI ZA KISHINDO JIMBO LA SEGEREA
-
NA MWANDISHI WETU
KATIBU Mkuu wa Jumuiya ya Wazazi Tanzania, Ally Salumu Hapi, amezindua
kampeni za Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika Jimbo la Segerea,jijin...
7 hours ago
kwa nini wasiongeze vituo vingine ili kupunguza msongamano!! au maduka ya kawaida tu yawe yanauza umeme?? kama huku uk? Wacheni ukoloni huo!!!! mdau Leicester. Shemejii!! Maladu ladu!! mijichipsi!!
ReplyDelete