Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad akiwa katika picha ya pamoja na viongozi na wanafunzi wa Al- Madrasat Tahfidhil-Qur'aan ya Mombasa Zanzibar.
Wanafunzi wa madrasat Tahfidhil- Qur'aan Mombasa wakiitikia maulid katika hafla ya maulid ya chuo hicho yaliyohudhuriwa na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad. (Picha na Salmin Said, OMKR)
No comments:
Post a Comment