Habari za Punde

Timu ya Malindi Yapapatua Kubaki Ligi Kuu ya Zanzibar Ikiibuka na Ushindi wa 1--0 dhidi ya Zimamoto.










 Kiongozi wa Timu ya Malindi Kao akitowa maelezo kwa wachezaji wa timu yake ili kupata ushindi dhidi ya timu ya Zimamoto mchezo uliofanyika uwanja wa Mao, Malindi wako katika harakati za kubaki daraja la Kwanza baada ya kufanya vibaya katika michezo yake na kuwa katika nafasi za chini katika ligi hiyo, inabidi kuchukua jitihada kubaki daraja hilo. katika mchezo huo imeishinda Zimamoto kwa bao moja lililofungwa na Said Kuzi katika kipindi cha pili cha mchezo huo. 

1 comment:

  1. Kweli soccer la Zenji Kwishnei!!! yaani Malindi inapapatuwa kupaki katika ligi kuu ama kweli!!! du si mchezo Malindi tuliokuwa tunaifahamu ilikuwa moto mkali!!! sasa hivi bora hapo kuchezwe nage!!! v shuli shuliii!! Shemejiiii!!!

    ReplyDelete

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.