Habari za Punde

Mbunge wa Jimbo la Kikwajuni na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Hamad Masauni Afungua Semina ya Vijana wa KSC

Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM na Mbunge wa Jimbo la Kikwajuni Hamad Yussuf Masauni, akifunguwa Semina ya Uongozi kwa Vijana wa Jimbo la Kikwajuni na Vijana wa Ilala Dar-es- Salaam, katika mafunzo hayo yalioandaliwa na Mbunge huyo kwa Vijana hao, ili kubadilishana mawazo katika ngazi ya Uongozi kwa Vijana.Semina hiyoimefanyika katika Tawi la CCM kilimani Zanzibar.
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi Wilaya ya Mjini Ali Othman, akitowa nasaha zake kwa Vijana wakati wa ufunguzi wa Semina hiyo iliofanyika katika tawi la CCM Kilimani Unguja.  
Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana Wilaya ya Mjini akitowa nasaha zake kwa Vijana hao wakati wa ufunguzi wa semina ya Uongozi Bora kwa Vijana wa CCM
Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa Bangwanji Mshaba akitowa nasaha zake kwa Vijana hao wakati wa uzinduzi wa semina hiyo uliofanywa na Mbunge wa Jimbo la Kikwajuni






No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.