Habari za Punde

Dk Shein afungua nyumba ya Walimu Makunduchi

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Wazee na Wananchi alipowasili Skuli ya Kusini Makunduchi Wilaya ya Kusini Unguja leo, kuifungua Nyumba ya Walimu,iliyojengwa na Jumuiya ya Maendeleo ya Makunduchi Mzuri kaja,kwa ushirikiano na Jumuiya ya Bus 4 Afrika,ya nchini Sweden
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akikata utepe kuifungua Nyumba ya Walimu Skuli ya Kusini Makunduchi leo, iliyojengwa na Jumuiya ya ya Maendeleo ya Makunduchi Mzuri kaja,kwa ushirikiano na Jumuiya ya Bus 4 Afrika,yenye Makao Makuu yake nchini Sweden
 Viongozi mbali mbali waliohudhuria katika sherehe ya Ufunguzi wa Nyumba ya Walimu,Skuli ya Kusini Makunduchi iliyojengwa na Jumuiya ya ya Maendeleo ya Makunduchi Mzuri kaja,kwa ushirikiano na Jumuiya ya Bus 4 Afrika,ya nchini Sweden,wakifuatilia kwa makini harakati za sherehe hiyo ilivyoendelea katika viwanja vya skuli hiyo leo
 Wanakikundi cha mazoezi ya Viungo cha Jitenge,wakionesha mtindo wao wa Mazoezi wakati wa sherehe za Ufunguzi wa Nyumba ya Walimu,Skuli ya Kusini Makunduchi Wilaya ya Kusini Unguja,akiwa mgeni Rasmi Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali
Mohamed Shein,
 Katibu wa Jumuiya ya Maendeleo ya Makunduchi Mzuri kaja, Maalim Rashid Makame Shamsi, akisoma risala ya wanajumuiya wakati wa sherehe ya Ufunguzi wa Nyumba ya Walimu,Skuli ya Kusini Makunduchi Wilaya ya Kusini Unguja iliyofunguliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
 Mwakilishi wa Jumuiya ya Bus 4 Afrika yenye Makao Makuu yake Nchini Sweden Bibi Hannah Mc Carrick,akitoa salam wakati wa Sherehe ya Ufunguzi wa Nyumba ya Walimu Skuli ya Kusini Makunduchi,iliyojengwa na Jumuiya hiyo na Ushirikiano wa Jumuiya ya Maendeleo ya Makunduchi Mzuri kaja, iliyofunguliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
 Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali, Ali Juma Shamuhuna,akimkaribisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,kuzungumza na Wananchi na Wanajumuiya ya Maendeleo ya Makunduchi Mzuri kaja,Wilaya ya Kusini Unguja, wakati wa Sherehe ya Ufunguzi wa Nyumba ya Walimu Skuli ya Kusini Makunduchi,
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akizungumza na Wananchi na Wanajumuiya ya Maendeleo ya Makunduchi Mzuri kaja,Wilaya ya Kusini Unguja, wakati wa Sherehe ya Ufunguzi wa Nyumba ya Walimu Skuli ya Kusini Makunduchi, iliyojengwa na Jumuiya ya ya Maendeleo ya Makunduchi Mzuri kaja,kwa ushirikiano na Jumuiya ya Bus 4 Afrika ya Sweden,

[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.