Habari za Punde

Nyumba ya Walimu Makunduchi yakaribia kumalizika, kuzinduliwa rasmi na Rais, Dk Shein 13/04/13

 Jumuiya ya Maendeleo ya Watu wa Mzuri Kaja ( Mzuri Kaja Development Society) ikiwa katika hatua za mwisho za kamilisha rangi kwenye nyumba ya walimu ya familia mbili ambayo ipo Skuli ya Kusini, Makunduchi. Jengo hili linategemewa kufunguliwa na Mheshimiwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Ali Mohammed Shein tarehe 13.4.2013 saa 430 asubuhi. Wananchi wote mnakaribishwa.
 Fundi umeme akihakikisha kila kitu ni sawa kabla ya ufunguzi rasmi tarehe 13.4.2013 hapo skuli ya Kusini, Makunduchi.
Nyumba ya walimu inavyoonek​ana kwa nje

2 comments:

  1. A/a ni jambo zuri la lakutia moyo na la kipigiwa mfano!!but the bad thing ni kuwaita viongozi kufungua majengo Kama haya cos simple they don't deserved!! do not let them even getting close to houses!!! Wanatumia pesa kwa kujenga maskani na kuwadumasha watu akili na kujenga fintna hii ndio produtivity za maskani!!! A lot money used katika sherehe za Mapinduzi wakati hospital huduma za msingi hakuna!!! These leaders dont have any vision and they are following their desire and according to Quran, who follow the desire is always the looser!!! Shame on these leader!!!
    Wake people!!!

    ReplyDelete
  2. A/a ni jambo zuri la lakutia moyo na la kipigiwa mfano!!but the bad thing ni kuwaita viongozi kufungua majengo Kama haya cos simple they don't deserved!! do not let them even getting close to houses!!! Wanatumia pesa kwa kujenga maskani na kuwadumasha watu akili na kujenga fintna hii ndio produtivity za maskani!!! A lot money used katika sherehe za Mapinduzi wakati hospital huduma za msingi hakuna!!! These leaders dont have any vision and they are following their desire and according to Quran, who ever follow the desire is always the looser!!! Shame on these leader!!!
    Wake up people!!!

    ReplyDelete

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.