Wachezaji wa Timu ya Boko wakifuatilia mchezo huo wakiwa katika benchi lao.
Mchezaji wa Timu ya New Boko Rashid Abdalla, kushoto akimpita beki wa timu ya Bridge, katika mchezo wa Ligi Daraja la Kwanza iliofanyika uwanja wa Mao timu hizo zimetoka sare ya 1--1
Wazee wa timu ya New Boko wakiongozwa na Mzee Dai wakifuatilia mchezo wao na timu ya Bridge, uliofanyika katika uwanja wa Mao timu hizo zikishiriki katika Ligi Kuu ya Zanzibar zikiwania kupanda Ligi Kuu ya Zanzibar/
huyu ni mzee dai khatib dai au macho yangu tu?
ReplyDelete