RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi na Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk. Ali Mohamed Shein, akiwahutubia Wana CCM na Wananchi wa Wilaya ya Mjini wakati wa ziara yake katika wilaya hiyo kutembelea matawi ya Chama cha Mapinduzi Unguja
MAKAMU Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. AliMohamed Shein, akimkabidhi Kadi Mwanachama Mpya wa UVCCM Iptisam Amir,wakati wa ziara ya MaKAMU Mwenyekiti wa CCM Zanzibar kutembelea Matawi ya CCM kuimarisha Chama cha Mapinduzi Zanzibar
MAKAMU Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk. Ali Mohamed Shein,kushoto Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Vuai Ali Vuai, Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Hamad Yussuf Masauni na kulia Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Mjini Silima Borafa na Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Mjini Juma Faki Chum, wakila kiapocha utii kwa Chama cha Mapinduzi wakati wa kuwapisha wanachama wapya wa CCM na Jumiya zake katika viwanja vya Kisonge michezani
KATIBU Muhamasishaji wa CCM Wilaya ya Mjini Haidar Foum. Akiongoza kiapo cha utii wa Chama kwa Wanachama wapya wa CCM na Jumuiya zake, jumla ya Wanachama wapya 270 walikabidhiwa kadi na Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk. Ali Mohamed Shein, katika viwanja vya Kisonge wakati wa ziara yake kuimarisha Chama Wilaya ya Mjini Unguja
NAIBU Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Vuai AliVuai, akizungumza katika mkutano wakati wa ziara ya Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk. Ali Mohamed Shein, kutembelea Matawi ya CCM kuimarisha Chama
MWENYEKITI wa CCM Mkoa wa Mjini Unguja Silima Borafa, akihutubia katika mkutano wakati wa ziara ya Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk. Ali Mohamed Shein, kutembelea matawi ya CCM katika Mkoa wa Mjini
Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Mjini Juma Faki Chum,akitowa maelezo ya Wilaya yake katika mkutano wa ziara ya Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar katika viwanja vya kisonge michezani.
Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa wakimsikiliza Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk. Ali Mohamed Shein, akiwahutubia katika viwanja vya Kisonge michezani baada ya kumaliza ziara yake Wilaya ya Mjini kukiimarisha Chama Cha Mapinduzi.
WANACHAMA wa CCM wakimsikiliza Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk. Ali Mohamed Shein, akiwahutubia wakati wa kumalizia ziara yake katika kutembelea matawi ya CCM jana
WANACHAMA wa CCM wakimsikiliza Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk. Ali Mohamed Shein, akiwahutubia wakati wa kumalizia ziara yake katika kutembelea matawi ya CCM jana
No comments:
Post a Comment