Habari za Punde

Balozi Anayeshughulikia Mashirikiano ya Nchi ya Denmark akutana na Dk Shein

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Balozi anayeshuhulikia mashirikiano ya nchi mbili wa Denmark Charlotte Slente,alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein,akizungumza na Balozi anayeshuhulikia Mashirikiano ya nchi mbili wa Denmark Charlotte Slente,alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo mchana akiwa na ujumbe aliofuatana nao,akiwemo Balozi wa Denmark nchini   
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein,akifuatana na Balozi anayeshuhulikia mashirikiano ya nchi mbili wa Denmark Charlotte Slente,alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo mchana baada ya mazungumzo yaliyofanyika Ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar leo, [Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.