Wananchi wakifuatilia upatikanaji wa habari mbalimbali kupitia kusoma vichwa vya habari kupitia magazeti mbalimbali.
Utandawazi umerahisisha upatikanaji wa habari kupitia vyanzo mbalimbali vya habari kujuwa matukio yanayoripotiwa katika vyombo hivyo, ukiachia mitandao na kuifanya Dunia iwe kama kivuu kupata habari inayotokea sehemu mbali na wao kuwa karibu na kupata habari hiyokwa muda mchache tafauti na enzi zile kupata mawasiliano huchukuwa muda mpaka kupata habari hiyo.
No comments:
Post a Comment