Mkurugenzi wa Biashara wa Zantel, Zanzibar-Mohamed Mussa
akiwa na pikipiki aliyomkabidhi mshindi wa wiki ya pili ya promosheni ya
'Kwangua na Ushinde' Bi Khadija Ali Haji mkazi wa Donge.
Mkurugenzi wa Biashara wa Zantel, Zanzibar-Mohamed Mussa
akikabidhi Bwana Hussein Mtumwa Hussein
zawadi yake ya modemu ya 3G aliyoshinda katika promosheni ya ‘Kwangua na
Ushinde’.
Mkurugenzi wa Biashara wa Zantel, Zanzibar-Mohamed Mussa
akiwa katika picha ya pamoja na washindi wa wiki ya pili ya promosheni ya
‘Kwangua na Ushinde’ inayoendelea kwa wateja wa Zanzibar.
No comments:
Post a Comment