Wafanyakazi wa Benki ya Watu wa Zanzibar wakitembelea Wagonjwa katika hospitali ya Makunduchi na kutowa zawadi ikiwa ni moja ya maadhimisho ya kutimia miaka 47 ya PBZ Zanzibar, Wakiongozana na Mkurugenzi Masoko wa PBZ Viwe Ali Juma na Meneja wa Tawi la PBZ Makunduzi Omar Mzee.
Meneja Masoko wa PBZ Seif Suleiman akimkabidhi mmoja wa Mwananchi alielazwa katika hospitali hiyo akipatiwa matibabu.
MKURUGENZI wa Masoko wa Benki ya Watu wa Zanzibar Viwe Ali Juma , akimkabidhi zawadi mmoja wa Wagonjwa waliolazwa katika Hospitali ya Makunduchi,ikiwa ni moja ya masdhimisho ya kutimia miaka 47 ya PBZ tangu kuazishwa kwake kutowa huduma za Kibenki Zanzibar
No comments:
Post a Comment