Habari za Punde

Maalim Seif afungua Tamasha la 16 la Ziff

 Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad akizungumza katika ufunguzi wa tamasha la 16 la ZIFF katika ukumbi wa Ngome kongwe
 Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad akizungumza katika ufunguzi wa tamasha la 16 la ZIFF katika ukumbi wa Ngome kongwe.
 Wasanii wa kikundi cha taarab cha wanawake  Zanzibar TAUSI WOMEN GROUB wakitoa burdani wakati wa ufunguzi wa tamasha la 16 la ZIFF lililofanyika Ngome Kongwe Zanzibar
  Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad akisalimiana na watendaji wa Ethiopean Airline ambao ni miongoni mwa wafadhili wa tamasha la 16 la ZIFF.
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad akiwa katika picha ya pamoja na wadau wa ZIFF  katika ufunguzi wa tamasha la 16 la ZIFF.
(Picha na Salmin Said, OMKR).

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.