Rais wa Zanzibar naMwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein na Balozi wa Japan Nchini Tanzania Mhe,Masaki Okada, akiondoa kipazia kuashiria kuzinduwa Mradi wa Vituo vya Umeme vya Uimarishaji Miundombinu ya Usambazaji Umeme Zanzibar, Jumla ya Vituo Vitatu vya Usambazaji Umeme vimejengwa na JECA vituo hivyo ni Mwanyanya, Welezo na Mtoni Zanzibar.
Rais wa Zanzibar naMwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein na Balozi wa Japan Nchini Tanzania Mhe,Masaki Okada, akikata utepe kuashiria kuzindua kituo kikuu cha Mradi wa Vituo vya Umeme vya Uimarishaji Miundombinu ya Usambazaji Umeme Zanzibar, Jumla ya Vituo Vitatu vya Usambazaji Umeme vimejengwa na JECA vituo hivyo ni Mwanyanya, Welezo na Mtoni Zanzibar.
Meneja Mkuu wa Shirika la Umeme Zanzibar Hassan Ali Mbarouk, akitowa maelezo kwa Rais wa Zanzibar Dkt Shein baada ya Uzinduzi wa kituo hicho, akiwa katika moja ya Jengo la kituo hicho akipata maelezo ya mashine za usambazaji wa umeme kituoni hapo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein, akipata maelezo ya moja ya mashine ya kupokelea umeme na kusambaza, kutoka kwa Meneja Mkuu wa Shirika la Umeme Zanzibar ZECO.Hassan Ali Mbarouk. baada ya uzinduzi huo uliofanyika katikaKituo kikuu cha Umeme Mtoni Zanzibar.
Balozi wa Japan Nchini Tanzania Mhe.Masaki Okada, akipata maelezo ya moja ya mashine ya kupokelea umeme na kusambaza, kutoka kwa Meneja Mkuu wa Shirika la Umeme Zanzibar ZECO.Hassan Ali Mbarouk. baada ya uzinduzi huo uliofanyika katikaKituo kikuu cha Umeme Mtoni Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein, akihutubia baada ya kuzindua Mradi wa Usambazaji wa Miundombinu ya Usambazaji wa Umeme Zanzibar, zilizofanyika katika viwanja vya Kituo hicho Mtoni Zanzibar.
Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Abdalla MwinyiKhamis, akihutubia katika sherehe hizo na kumkaribisha Rais wa Zanzibar kuwahutubia Wafanyakazi na Wananchi waliohudhuria sherehe hizo.
Balozi wa Japan Nchini Tanzania Mhe. Masaki Okada akitowa salamu za Nchi yake katika sherehe ya Uzinduzi wa majengo ya Kituo cha Usambazaji Miundombinu ya Umeme Zanzibar Mtoni Zanzibar.
Maveterani wa Shirika la Umeme Zanzibar wakiwa katika sherehe hiyo Mtoni Zanzibar.
Wafanyakazi wa Shirika la Umeme Zanzibar wakiwa katika viwanja vya Kituo cha Umeme Mtoni Zanzibar wakati wa uzinduzi wake.
Wadau wa Sekta ya Utalii Zanzibar wakifuatilia Uzinduzi huo na kusikiliza Hutuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein, akihutubia katika sherehe hizo zilizofanyika katika Kituo Kikuu cha Mradi huo wa Usambazaji Umeme kiliko Mtoni Zanzibar.
Wafanyakazi wa ZECO kitengo cha usomaji mita wakishiriki katika sherehe hizo zilizofanyika mtoni Zanzibar.
Ofisa Rasilimali Watu wa ZECO akiwa na Wafanyakazi wake wakifuatilia Hutuba ra Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi akihutubia baada ya kuzindua Vituo hivyo Mtoni.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein, akiwa katika picha ya pamoja na Viongozi na Wafanyakazi wa ZECO, baada ya Uzinduzi wa mradi huozilizofanyika katika Kituo Kikuu cha Umeme Mtoni Zanzibar.
Nimependa picha za wadau wawili wa mwanzo kushoto wa sekta ya utalii..zipo very professional...nadhani ni Abdul swamad na binti wa Amaan Karume...Iam I right?
ReplyDelete