Habari za Punde

Dkt. Kikwete Awaapisha Mabalozi Wapya Ikulu Dodoma.

Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete na Makamu wa Rais Dkt Mohamed Gharib Bilal wakiwa na mabalozi wapya walioapishwa leo Juni 11, 2013 katika Ikulu Ndogo Dodoma. Mabalozi hao ni Mhe Luteni Jenerali Mstaafu Abdulrahman Shimbo (kuli) , anayekuwa balozi wa Tanzania nchini China na Mhe Anthony Cheche (kushoto) anayekuwa Balozi wa Tanzania katika Congo DRC
 Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akimuapisha Mhe Luteni Jenerali Mstaafu Abdulrahman Shimbo (kulia) , anayekuwa balozi wa Tanzania nchini China,sherehe hizo zimefanyia katika viwanja vya Ikulu Dodoma.

 Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akimkabidhi vitedea kazi Balozi Mpya wa China Mhe Luteni Jenerali Mstaafu Abdulrahman Shimbo (kulia) baada ya kumuapisha Mhe Luteni Jenerali Mstaafu Abdulrahman Shimbo (kulia)katika viwanja vya Ikulu Dodoma leo.

 Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akimuapisha  Mhe Anthony Cheche (kushoto) anayekuwa Balozi wa Tanzania katika Congo DRC.
Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akimkabidhi vitendea kazi Mhe Anthony Cheche (kushoto) anayekuwa Balozi wa Tanzania katika Congo DRC.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.