Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad, akipokea rasimu ya katiba ya Tanzania kutoka kwa Makamu wa Rais Tanzania Dr. Mohd Gharib Bilal, mara baada ya kuzinduliwa kwa rasimu hiyo katika viwanja vya Karimjee Dar es Salaam.
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad, akiwa katika picha ya pamoja na viongozi mbali mbali, maara baada ya kuzinduliwa kwa rasimu ya katiba katika viwanja vya Karimjee Dar es Salaam.
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad, akisalimiana na Naibu katibu Mkuu wa CUF (Tanzania Bara) Julius Mtatiro, mara baada ya kuzinduliwa kwa rasimu ya katiba katika viwanja vya Karimjee Dar es Salaam.
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad, akibadilishana mawazo na Makamu wa Rais Tanzania Dr. Mohd Gharib Bilal, maara baada ya kuzinduliwa kwa rasimu ya katiba katika viwanja vya Karimjee Dar es Salaam. (picha na Salmin Said, OMKR).
MHE. RAIS SAMIA APONGEZWA KUTEKELEZA MKAKATI WA TAIFA WA NISHATI SAFI YA
KUPIKIA KWA VITENDO
-
-Mitungi ya gesi 330 kugaiwa bure kwa Watumishi Magereza Simiyu
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan
amepongezwa kwa kute...
5 hours ago
Sijui ni lini katibu wangu ataacha 'undumi la kuwili'
ReplyDeleteAkiwa Z'bar anahamasisha watu kufanya vurugu, akiwa Bara utamuona anacheka na wadau na kuhubiri uzalendo...Maalim bwana!
Mimi nadhani, mwisho wa maji ni tope, mimi nadhani CUF inahitaji akina Hamad Rashid wengine!
Visiwa vya Zanzibar vitaendelea kutawaliwa milele kwani sioni hata kipengele kinachoonesha namna sehemu moja inavyoweza kujitowa katika gereza hili la muungano pale ambapo sehemu moja hasa hii yetu ndogo itakpohitaji kufanya hivyo. Katika rasimu hii ni mtego wa kuhalalisha huu muungano usiokuwa wa kihalali.
ReplyDeleteWee mtoa comment wa mwanzo wacha ujinga samaki wewe, sasa ulitaka maalim afanye nini apigane au asicheke na mtu! hujui kama mtume wetu kasema smile ni sadaka, haturudi nyuma mpaka kieleweke upoo pumbaaav
ReplyDeleteKwa kweli hali ya rasimu sio nzuri sana lkn. lazma tujilaumu wenyewe kwa hili.
ReplyDeleteTulisema hapa Muungano una maslahi ya watu wengi wakiwemo mataifa makubwa hivyo MKATABA au KUUVUNJA sio rahisi, hivyo tulalamikie yale mambo ambayo
yakiondokewa yatatudaidia lk. tukashindwa.
Wakazuka akina mtoa maoni wa tatu (UWAMSHO) wakampotosha maalim ili aachane ya sera ya CUF ya miaka mingi( serikali tatu).
Matokeo yake tatu zimepatikana lakini MAMBO YA NJE lkn. seuze MAMBI YA NJE hata ule USHIRIKIANO WA KIMATAIFA ambao hapo awali haukua ktk. mambo la muungano basi hatukuupata.
@Anonymous wa tatu
ReplyDeleteHuyu itakua 'Banchincha' AKA wazee wa nkataba!
Ndio wenye tabia za kutukana watu mitandaoni.
Wakiwashiwa moto wanaanza kujificha kwenye kivuli cha dini...'oh Allah hapendi, sisi sote wwwamoja' n.k.
Hapa tunabadilishana mawazo na kukosoana kistaarabu sio kutukanana.
Hebu na tuchapeni kazi tujengeni nchi yetu. Tatizo kubwa la huyo mwalimu wenu amechaanza kampeni za urais ijapokuwa kampeni bado. Aidha, lugha ya CUF siku zote ni hiyo ya kuleta vurugu tu katika nchi, sasa huyo mwalimu wenu analazimika atumie lugha hiyo hiyo ya chama vyenginevyo ataonekana hayuko pamoja nao. Kwahivyo mwalimu wenu atalazimika tu atumie lugha ya CUF ili andelee kula. Tatizo la ndugu zetu wapemba wao wametiwa shemele na huyo mwalimu wao. Hata ukikutana na wale wanaojiita wasomi mawazo yao ni yale yale ya KiSeif. Juzi ilikuwa serikali 3, leo tayari. Sasa imekuwa nkataba. Nkataba ukija utasikia mengine! Hao ndio Wapemba! Sisi Waunguja tunawajua sio watu wakuridhika na kitu zaidi ya kifo ambacho ni lazima!
ReplyDeleteSisi wapemba tupo sawa tatu zimekubaliwa, then tutaka mengine yakae sawa
Delete