Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimvisha Cheo cha Heshima, Mhitimu wa Mafunzo ya Uofisa na Ukaguzi Msaidizi wa Chuo cha Polisi cha Dar es Salaam, Inspekta Leah Nicholaus Ncheyeki, wakati wa hafla ya kufunga mafunzo hayo iliyofanyika leo Juni 27, 2013 chuoni hapo jijini Dar es Salaam

:- Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimvisha Cheo cha Heshima, Mhitimu wa Mafunzo ya Uofisa na Ukaguzi Msaidizi wa Chuo cha Polisi cha Dar es Salaam, S/SGT Juma Sadiki Bahati, wakati wa hafla ya kufunga mafunzo hayo iliyofanyika leo Juni 27, 2013 chuoni hapo jijini Dar es Salaam.

Askari wakipita mbele ya mgeni rasmi Makamu wa Rais, Dkt. Bilal, na kutoa heshima, wakati wa hafla ya kufunga mafunzo hayo.
:- Aaskari wahitimu wa mafunzo hayo akiwamo na Mwanadada, wakionyesha mchezo wa kujihami na adui wakati wa hafla ya kufunga mafunzo hayo. Picha na OMR
No comments:
Post a Comment