Habari za Punde

Skuli ya Kengeja Yakabidhiwa Computer.

 WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais Ikulu Dkt. Mwinyihaji Makame akimkabidhi seti ya Computer iliotolewa ahadi na Rais Mstaafu wa Awamu ya Sita Dkt. Amani Abeid Karume wakati alipokuwa Madarakani kwa ajili ya Skuli ya Sekondari ya Kengeja Pemba, apokea Computer hiyo Mwakilishi wa Mtambile Mohammed Haji Khalid,(kushoto) makabidhiano hayo yamefanyika katika viwanja vya Baraza la Wawakilishi Chukwani

3 comments:

  1. Naona kama kawaida.. 'kijiji' cha viongozi kiko Pemba kugawa computer...sijui nani anagharamia safari, malazi na posho zao wakiwa huko?...this is Z'bar..the spice Islands!!!

    ReplyDelete
  2. Yaaani hivi huyu waziri na wakilishi kukusanyika woote kisa kutoa cumputer moja!!! na mapicha kupiga '' mmhh kazi ipo SMZ

    ReplyDelete
  3. Ni aibu karine 21,ndio kwanza tuna kabizi seti1 ya kompuyuta ndani ya skuli ya sc, viongozi kundi zima?

    ReplyDelete

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.