Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Mwakilishi wa UNICEF nchini Tanzania Dk.Juma Gulaid,alipofika Ikulu Mjini Zanzibar
kumtambulisha Mkuu mpya wa Shirika hilo Mama Francesca Moranditi,(hayupo pichani
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Mwakilishi wa UNICEF Ofisi ya Zanzibar Mama Francesca Moranditi,alipofika Ikulu Mjini
Zanzibar,kujitambulisha kwa Rais
Mwakilishi wa Shirika la UNICEF nchini Tanzania Dk.Juma Gulaid,(katikati) alipokuwa akimtambulisha Mama Francesca Moranditi,(kushoto) kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,(kulia) walipofika Ikulu Mjini Zanzibar
leo mchana,).[Picha na Ramadhan Othman Ikulu.]
TRA YAPONGEZA MCHANGO WA WALIPAKODI KATIKA MAENDELEO YA TAIFA
-
Songea – Ruvuma.
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imesema kuwa takribani asilimia 70 ya
bajeti kuu iliyopitishwa na Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzani...
3 hours ago
No comments:
Post a Comment