Habari za Punde

Maandalizi ya Ramadhaan yaanza.

 Wananchi wa Mji wa Unguja wakiwa katika harakati za maandalizi ya kuukaribishwa Mwezi Mtukuf wa Ramadhani unaotarajiwa kuaza kesho kwa kufunga wakinunu bidha kwa ajili ya futari katikacmarikiti kuu ya mwanakwerekwe Zanzibar.
Bidhaa katika soko hili zikiwa katika bei ya kawaida, kilo ya Bidhaa za nafaka maharage kilo mojo shilingi 1400/= Njugu mawe kilo sh.1800/= kunde kilo sh.1400/ = katika soko hilo zaid bei za bidhaa nyegine tunategemea kesho kupata taarifa kwa kuanza kwa mwezi wa Ramadhaan. 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.