Habari za Punde

Mambo ya Msimu wa Vibuwa ndani ya Zenj ...umeanza

Wafanyabiasha ya Uchuuzi wa samaki aina ya Vibuwa wakiwa katika bandari ya malindi wakipanga samaki hao kwa ajili ya wateja wao, katika kipindi hichi cha mwezi mtukufu wa ramadhani samaki hutumika sana katika futari na daku, msimu ukiwa umeanza katika bandari hiyo ndoo moja ya kibua iliuzwa kwa shilingi 75000/= katika bandari hiyo.  

3 comments:

  1. Fungu la vibua linafika bei gani siku hizi?

    ReplyDelete
  2. Tsh. 75000 elfu au elfu 7. Mbona sijafahamu.

    Ikiwa ni elfu Saba kwa ndoo. Basi ni kiama cha naisha kwa masikini ya Mungu.

    ReplyDelete

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.