Wafanyabiasha ya Uchuuzi wa samaki aina ya Vibuwa wakiwa katika bandari ya malindi wakipanga samaki hao kwa ajili ya wateja wao, katika kipindi hichi cha mwezi mtukufu wa ramadhani samaki hutumika sana katika futari na daku, msimu ukiwa umeanza katika bandari hiyo ndoo moja ya kibua iliuzwa kwa shilingi 75000/= katika bandari hiyo.
Habari : Makamu wa Rais Dkt. Nchimbi Ashiriki Mkutano wa Dharura wa SADC
-
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Balozi Dkt. Emmanuel
Nchimbi akishiriki Mkutano wa Dharura wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Nchi
W...
1 hour ago

Fungu la vibua linafika bei gani siku hizi?
ReplyDeleteSubhaanaAllah
ReplyDeleteTsh. 75000 elfu au elfu 7. Mbona sijafahamu.
ReplyDeleteIkiwa ni elfu Saba kwa ndoo. Basi ni kiama cha naisha kwa masikini ya Mungu.