Habari za Punde

Mambo ya Utalii wa Zanzibar katika Kazi za Mikono ya Makasha.

 Mfanyabiashara ya Bidhaa za Utalii Zanzibar Firoz Chest Craft, akiwa katika harakati za utengenezaji wa sanaa hiyi ya milango ya Zanzibar akiwa katika kiwanda chake Hurumzi, Bidhaa hizi za Milango ya Zanzibar hupendwa na Wageni mbalimbali wanaofika Zanzibar kwa matembezi.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.