Habari za Punde

Michuano ya Judo ya Tanzania Judo Championship 2013 Amaan. Zenj


1 comment:

  1. Z'bar tulitakiwa kujikita zaidi ktk michezo 'yetu' kama vile kuogelea, kukimbia, mashairi, bao n.k.

    Michezo niliyoitaja ni rahisi ktk mazingira yetu na haina gharama kubwa.

    Hii iliyobaki tukajishughulisha nayo tu ili tusiachwe nyuma na wenzetu Duniani..Angalia mfano wa wenzetu INDIA na PAKISTA..wao ni 'CRICKET'...kwenda mbele!

    ReplyDelete

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.