Takwimu Sahihi Zitokane na Vyanzo Vinavyotambulika Kisheria – Prof. Ame
-
Na Mwandishi wetu
Katika kuelekea maadhimisho ya miaka 60 tangu kuanzishwa kwa Chuo Cha
Takwimu Mashariki mwa Afrika (EASTC), Mwenyekiti wa Bodi ya Ushauri...
1 hour ago
Z'bar tulitakiwa kujikita zaidi ktk michezo 'yetu' kama vile kuogelea, kukimbia, mashairi, bao n.k.
ReplyDeleteMichezo niliyoitaja ni rahisi ktk mazingira yetu na haina gharama kubwa.
Hii iliyobaki tukajishughulisha nayo tu ili tusiachwe nyuma na wenzetu Duniani..Angalia mfano wa wenzetu INDIA na PAKISTA..wao ni 'CRICKET'...kwenda mbele!