Habari za Punde

Maandalizi ya Sikukuu Viwanja vyaMnazi Mmoja.


Ujenzi wa mabanda ya biashara katika viwanja vya sikukuu vikiwa katika maandalizi ya ujenzi wake ili kusherehekea sikukuu ya Eid Fitry leo.Waislam Duniani kote leo husherehekea sikukuu ya Eid Fitry baada ya mfungo wa Mwezi Mtuku wa Ramadhani kumalizika jana kwa kukamilisha mfungo huo kwa kumaliza siku salathini. 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.