Habari za Punde

Mjasiriamali Jua Kali Michezani.

Mjasiliamali akitowa maelezo moja ya bidhaa wanazozalisha katika Vikundi vyao, akitowa maelezo kwa mteja aliyefika katika Soko la Jumapili Jua Kali Michezani Kisongo kujipatia huduma hiyo ya bidhaa za Wajasiliamali wa Vikundi vya Wanawake Unguja, biashara katika Jua Kali Michezani Soko la Jumaapili kwa kipindi hichi limekuwa likisua sua kutokana na kutokuwa na vitendea kazi na kuwafanya kufanya biashara zao wakiwa chini ya mtii wakisuburi wateja wao.  

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.