Waziri wa Ardhi,Maji,Makaazi na Nishati Ramadhan Abdalla Shaaban,akitia saini na Meneja Uhusiano wa Kampuni ya Mafuta ya Shell ya uholanzi na Serikali za Afrika Mashariki Axel Knospe,(kushoto)makubaliano ya ushiriano katika sekta ya gesi na mafuta katika ukumbi wa ofisi ya kampuni hiyo Mjini Uholanzi alipokuwa katika ziara ya Kiserikali,ujumbe ulioongozwa na Rais wa zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la mapinduzi Dk.AliMohamed Shein
Waziri wa Ardhi,Maji,Makaazi na Nishati Ramadhan Abdalla Shaaban,akibadilishana hati ya makubaliano baada ya kutia saini na Meneja Uhusiano wa Kampuni ya Mafuta ya Shell ya uholanzi na Serikali za Afrika Mashariki Axel Knospe,(kushoto)makubaliano ya ushiriano katika sekta ya gesi na mafuta katika ukumbi wa ofisi ya kampuni hiyo Mjini Uholanzi alipokuwa katika ziara ya Kiserikali,ujumbe ulioongozwa na Rais wa zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la mapinduzi Dk.AliMohamed Shein.[
picha ya uwakilishi wa bendera ya zanzibar haipo kwanye picha ya shell ipo vipi
ReplyDeleteBendera sio 'issue' Z'bar maofisi mengi yanapepea hiyo bendera lakini mambo hayaendi!
ReplyDeleteIko haja sasa ya kuachana na uzalendo usio na maana na kujikita ktk mamabo ya maendeleo.
Tukumbuke Z'bar ina serikali, nembo(muhuri wa smz) baraza la wawakilishi, Bendera,wimbo wa taifa, wizara zake na hadi vitambulisho(ZID) hebu niambie ni lipi la kujivunia ktk haya?