
Katibu Mkuu, Wizara ya Nishati na Madini Eliakim Maswi (watatu kushoto) katika picha ya pamoja na baadhi ya vijana waliopata ufadhili wa masomo ya shahada ya uzamili katika fani ya mafuta na gesi kutoka Serikali ya watu wa China. Pia, wanafunzi wengine 10 wamepata ufadhili wa masomo kama hayo kutoka Serikali ya Brazil. Picha imepigwa mara baada ya kumalizika kwa hafla fupi ya kuwaaga wanafunzi hao iliyofanyika leo katika ukumbi wa mikutano wa Wizara hiyo uliopo jijini Dar es Salaam.
Kuna mtanzania yeyote kati ya hawa alietokea Zanzibar?
ReplyDeleteHapa ndipo tunapopigwa bao wazanzibari, hawa watanganyika watupu wanasomeshwa na pesa za muungano
ReplyDeleteHawa si watanzania balini watanganyika, kama watanzania tungeona wa znz, japo wawili, mna peleka watanganyika wenzenu ikesha mna dai watanzani
ReplyDeleteHalafu anasimama mznz anasema hawa nduguzetu tena wadamu na pengine wanasomeshwa waje kusimamia mafuta ya znz
ReplyDeletemazafanta!!!
ReplyDelete