Habari za Punde

Kikwajuni Ikiwa katika Zoezi la Kupanda Daraja.


Jopo la Makocha wa timu ya Kikwajuni Mohammed DSaid Dingo akitowa maelezo kwa wachezaji wake wakati wa mchezo wa kirafiki wa kujipima nguvu, mchezo uliofanyika katika uwanja wa KSC mnazi mmoja.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.