Habari za Punde

Huduma za Mbalimbali Zenj Air Port.

Huduma mbalimbali zinapatikana katika Uwanja wa Ndege wa Abeid Amani Karume, kwa ndege za nje na ndani hupata huduma hizo kama inavyoonekana ndege hii ikipata huduma ya kujaza mafuta ilipofika katika uwanja huu, kwa safari zake za kawaida.  

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.