Dkt. Mwa
WAZIRI KOMBO APONGEZA UJUMBE WA TANZANIA KATIKA MKUTANO WA JPC RWANDA,
AHIMIZA KUCHANGAMKIA FURSA ZA USHIRIKIANO
-
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi
Mahmoud Thabit Kombo (Mb.), amewapongeza wajumbe wa Tanzania waliowasili
jijini Kiga...
1 hour ago
Zanzibar viongozi wa Serikali wanshangaza kweli, Wanahubiri kuuendeleza uislamu lakini waislamu wakichachamaa kuutetea uislamu na maadili yake ndio viongozi wa kidini wanapowekwa ndani kwa kutekeleza malengo ya kisiasa. Mwenyezi Muungu ni hakimu muadilifu kuliko mahakimu wote ,na kila mmmoja wenu atalipwa kwa yale aliyoyatenda hapa duniani.
ReplyDeleteNashangaa kwanini viongozi wa kisiasa wanaendelea kualikwa ktk hafla za kidini!
ReplyDeleteNi vigumu kukubali lkn. ukweli unabaki kua siasa yenyewe ni Dini na ina namna yake ya kuamini.
Ukitaka kujua hilo, angalia namna ambavyo Serikali ya MISRI ilivyokuwa ikiuwa watu waliokaa kitako ktk makambi tena mwezi wa ramadhani eti tu kwa kukaidi amri ya serikali.
Maamuzi ya namna ile hayana 'justification' yoyote kidini isipokua adhabu ya moto lakini kisiasa yana uhalali wa kila namna!