Habari za Punde

Wafanyakazi wa Mashirika ya Umma Wakishiriki Mashindano ya Mbio za Baskeli ya SHIMIWI Mjini Dodoma.



 Mkimbiaji wa mbio za Baiskeli wa Ofisi ya Makamu wa Rais, Rajab Salum Sheikh (kushoto) akichuana na mpinzani wake wakati wa mashindano hayo ya Shimiwi, yaliyofanyika mjini Dodoma leo asubuhi, ambapo wakimbiaji walikimbia jumla ya Kilometa 36. Rajabu alimaliza mbio hizo na kushika nafasi ya tisa kati ya washiriki 22

                          Sehemu ya mashabiki wa mchezo huo waliojitokeza kushuhudia mbio hizo.
Rajab, akipongezwa na wafanyakazi wenzake wa Ofisi ya Makamu wa Rais, baada ya kumaliza mbio hizo za Kilometa 36. Picha na OMR

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.