Mshambuliaji wa timu ya Fufuni akimpita beki wa timu ya Mtende katika mchezo wa Ligi Kuu ya Zanzibar Grand Malt. mchezo uliofanyika uwanja wa Mao, timu ya Mtende imeshinda bao 1--0.
MSHAMBULIAJI wa timu ya Fufuni Mbarouk Ali
akimpita beki wa timu ya Mtende Mohammed Ramadhani katika mchezo wa ligi kuu ya
Zanzibar Grand Malt, mchezo uliofanyika uwanja wa Mao, timu ya Mtende imeshinda
1—0
Mshambuliaji wa timu ya Fufuni akimiliki mpira wakati wa mchezo wa ligi kuu ya grand malt na timu ya Mtende, timu ya Mtende Rangers imeshinda 1--0.
Tunafurahia habari zako za michezo, lakini vichwa vya habari zake haiko wazi kiasi cha sisi tuliomaliza std viii kujuwa umejusudia nini. Hatujuwi nani kamfunga nani. Tunaomba mfano, leo pameandikwa, Fufuni na Mtende. Imeshinda 1-0, sasa hapa kidogo ni utata kwa sisi wengine.
ReplyDelete