Maalim Seif akiangalia maktaba ya Skuli ya Fidel Castro ambayo inakabiliwa na upungufu wa vitabu, wakati wa ziara yake katika taasisi za elimu kisiwani Pemba
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad, akipokelewa na makamanda wa vikosi vya (14 na 151 KJ) wakati akiwasili katika kambi ya jeshi ya Ali Khamis Camp Vitongoji, kuangalia maendeleo ya skuli ya msingi iliyo chini ya Jeshi hilo
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad, akizungumza katika eneo la skuli ya Ali Khamis Camp Vitongoji. (picha, Salmin Said, OMKR)
No comments:
Post a Comment