Habari za Punde

Waziri wa Fedha Omar Yussuf, Asaini Miradi Mnne na Balozi wa China Zanzibar.

 WAZIRI wa Fedha Zanzibar Omar Yussuf Mzee na Balozi Mdogo wa China Zanzibar Balozi Xie YunLiang, wakitiliana saini makubaliano ya Miradi Minne inayofadhiliwa na China kuisaidia Zanzibar katika sekta mbalimbali, makubalianohayo yamefanyika katika Ukumbi wa Ofizi ya Wizara ya Fedha Vuga Zanzibar
 Waziri wa Fedha Zanzibar Omar Yussuf Mzee na Balozi Mdogo wa China Zanzibar Balozi Xie Yunliang, wakibadilishana Mikataba ya Makubaliano ya Miradi Minne ya maendeleo Zanzibar waliotiliana saini baina ya Serekali ya Mapinduzi Zanzibar na Serekali Watu wa China, utiaji wa saini hizo umefanyika Wizara ya Fedha Vuga.
 Waziri wa Fedha Zanzibar Omar Yussuf Mzee akizungumza na waandishi wa habari baada ya utiaji wa saini


1 comment:

  1. Smz,ajabu yao ni hii kilasiku hutiasain maradi mbalimbali ya kimaendeleo, lakini haionekani pesa zinaishia mifukoni mwa wakubwa wa suk, kama hawa wachina na mataifa mangine ya kimagharibi misaada yao ingekuwa inafanyiwa kazi tngepiga hatuwa kubwa kimaendeleo, lakiniwapi, wanasini mikatabaya maendeleo ya matumbo yao na watoto wao

    ReplyDelete

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.