WAZIRI wa Fedha Zanzibar Omar Yussuf Mzee na
Balozi Mdogo wa China Zanzibar Balozi Xie YunLiang, wakitiliana saini
makubaliano ya Miradi Minne inayofadhiliwa na China
kuisaidia Zanzibar
katika sekta mbalimbali, makubalianohayo yamefanyika katika Ukumbi wa Ofizi ya
Wizara ya Fedha Vuga Zanzibar
Waziri wa Fedha Zanzibar Omar Yussuf Mzee na Balozi Mdogo wa China Zanzibar Balozi Xie Yunliang, wakibadilishana Mikataba ya Makubaliano ya Miradi Minne ya maendeleo Zanzibar waliotiliana saini baina ya Serekali ya Mapinduzi Zanzibar na Serekali Watu wa China, utiaji wa saini hizo umefanyika Wizara ya Fedha Vuga.
Waziri wa Fedha Zanzibar Omar Yussuf Mzee akizungumza na waandishi wa habari baada ya utiaji wa saini
Smz,ajabu yao ni hii kilasiku hutiasain maradi mbalimbali ya kimaendeleo, lakini haionekani pesa zinaishia mifukoni mwa wakubwa wa suk, kama hawa wachina na mataifa mangine ya kimagharibi misaada yao ingekuwa inafanyiwa kazi tngepiga hatuwa kubwa kimaendeleo, lakiniwapi, wanasini mikatabaya maendeleo ya matumbo yao na watoto wao
ReplyDelete