Beki wa timu ya KMKM akiruka juu na mshambuliaji wa timu ya Chipukizi wakiwania mpira katika mchezo wa Ligi Kuu ya Zanzibar Grand Malt mchezo uliofanyika uwanja wa Mao,timu ya KMKM imeshinda 3--1
Beki wa timu ya Chipukizi akiondoa mpira golini kwake wakati wa mchezo wa ligi Kuu uliofanyika uwanja wa Mao, timu ya KMKM imeshinda 3--0.
No comments:
Post a Comment