Habari za Punde

Mambo ya Mtandao hayoo kwa Vijana.

 Utawandawazi wa mawasiliano ya mitandano kupitia katika simu za mkononi kama wanavyoonekana watoto hawa wakiwa katika eneo la majestic wakipata mawasiliano kupitia katika mtandano wa Zanlik kupitia katika simu zao ili kupata kuwasiliana na ndugu na jamaa katika fecebook na whatsap.
Vijana wengi huitumia mawasiliano ya aina hiyo kupitia simu zao za mikononi 

1 comment:

  1. Big up Zanlink kwa kutuwekea free WiFi yenye speed

    ReplyDelete

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.