Habari za Punde

RAIS KIKWETE AKUTANA MA JOPO LA USULUHISHI WA MIGOGORO

 Rais wa Jamuhuri wa Muungano wa Tanzania Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika mkutano na  Jopo la Marais Wastaafu wa Afrika wakizungumzia Usuluhushi wa Migogoro ya Afrika. linaloongozwa na Rais Mstaafu wa Msumbiji Mhe Joaquim Chissano
 Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Jakaya Mrisho Kikwete, akibadilisha mawazo na Marais wastaaf wa Afrika baada ya kumaliza kwa mkutano huouliofanyika Ikulu Dar -es- Salaam, ukiwa chini ya Mwenyekiti wake Rais Mstaaf wa Msumbiji Mhe. Joaquim Chissano. 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.