Mfanyabiashara katika makontena Vikokotoni akiondoa maji katika eneo la duka lake na kuamua kuondoa kwa kutumia mbao kuwakumba maji hayo ili kutowa nafasi kwa wateja wake wanaofika katika duka hilo kufika bila ya usombufu, kwa hivi sasa katika maeneo ya Zenj yametandwa na mvua za vuli zinazoendelea kunyesha katika sehemu mbalimbali za Unguja.Kama navyoonekana pichani akifanya usafi huo.
Mwakilishi wa Jimbo la Bumbwini Kukabidhi Vifaa na Zawadi kwa Wanafunzi
Waliofanya Vizuri Masomo yao
-
Na. Takdir Ali.
Mwakilishi wa Jimbo la Bumbwini Mhe. Mtumwa Peya Yussuf amewataka Vijana
kukiamini na kukichaguwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) ili kiendele...
27 minutes ago
No comments:
Post a Comment