Wafanyabiashara wa bidhaa za mikononi maarufu kwa jina la Machinga wakiwa katika sare maalum waliojiadalia katika mazingira yao ya kazi kama walivyokutwa na mdau wa blog hii wakifanya biashara ya kuuza charge za sinu na cover katika maeneo ya darajani wakati wakisubiri wateja wao katika eneo hilo ambalo huondolewa kila siku na kurudi baada ya muda mchache na kuendelea na biashara zao.
Kama wangekuwa na umoja kama huu wangeweza kuondoka katika sehemu hiyona kufuata maelekezo ya Taasisi husika kuelekea eneo lilolotengwa kwa biashara hiyo sehemu ya Saateni ilikufanya biashara zao bila ya buhudha ya askari wa manispa wanayopata wakati wa kuwaondoa eneo hilo.ambalo haliruhusiwi kufanya biashara.
No comments:
Post a Comment