Habari za Punde

Mapumziko ni moja ya starehe

Wanyama aina ya Paka wakiwa katika eneo lao waliojiwekea kujipumzisha na mihangaiko ya kutwa kutafuta riziki, kama wanavyoonekana paka hawa wakiwa katika eneo la mkunazini wakipata upepo.

1 comment:

  1. Ni kweli na kakam walivyokuwa wanatwambia wazee sterehe ya paka ni kukalia mkia wake :-)

    ReplyDelete

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.