Habari za Punde

Mdahalo wa Wanafunzi Kuhusu Masuala ya Kulipa Kodi TRZ.

Meneja wa Idara ya Kodi za Ndani Mamlaka ya Mapato Tanzania TRA Khamis Mwalim Shibu, akizungumza wakati wa kumalizika kwa Mdahalo wa siku moja kuzungumzia Ulipaji wa Kodi wa Mapato TRA, Zanzibar, uliofanyika katika ukumbi wa Ecrotanali Zanzibar. 
Afisa Elimu kwa Walipaji wa Kodi ya Mapato Zanzibar Saleh  (CHALO),akizungumza katika mdahalohuo akitowa mada kuhusu Elimu ya Ulipaji wa Kodi ya Mapato Zanzibar.
                                                                 Wanafunzi wakifuatilia mdahali huo.



Meneja waIdara ya Kodi za Ndani Mamlaka ya Mapato Tanzania TRA, Khamis Mwalim Shibu, mwalimu Victor Kibonde wa skuli ya  Trifonia, cheti cha ushiriki wa Mdahalo huo wa kutowa Elimu ya Ulipaji wa Kodi kwa Wafanyabiashara Zanzibar
Meneja waIdara ya Kodi za Ndani Mamlaka ya Mapato Tanzania TRA Khamis Mwalim Shibu, akimkabidhi Cheti cha ushiriki katika mdahalo wa ulipaji wa kodi Zanzibar Mwalimu wa Skuli ya Biashara Zanzibar Amour Masoud 
Meneja waIdara ya Kodi za Ndani Mamlaka ya Mapato Tanzania TRA Khamis Mwalim Shibu, akimkabidhi seti ya Computer Mwalim wa Skuli ya Sekondali ya Haile Selasie, Suwed Hussein, baada ya skuli yake kupata ushindi wa kwanza katika mdahalo huo, ulioshirikisha skuli tatu za Zanzibar Haile Selasie, Zanzibar Commercial na Trifonia ya Fuoni.
Meneja wa Idara ya Kodi za Ndani Mamlaka ya Mapato Tanzania TRA Khamis Mwalim Shibu akiwa katika picha ya pamoja na Walimu na Wanafunzi wa skuli tatu za Zanzibar walioshiriki katika mdahalo wa Kulipa Kodi ya Mapato na Umuhimu wake kulipa. uliofanyika ukumbi wa Kituo cha Ecrotanal Zanzibar.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.