Wafanyakazi wa Baraza la Manispa Zanzibar wakibishana na dereva ambaye ameegesha gari yake kando ya barabara ya darajani ambaayo hairuhusiwe kuegesha magari kutoka na kusabnabisha msongamano wa magari akibiasha nao baada ya kumfungia gari lake nyonyoro maalum, Kosa hilo hutozwa faina na ndipo kufunguliwa gari hiyo.
0 Comments