Habari za Punde

Mji Mkongwe Zenj

Watalii wakitembelea Soko la Marikiti na kupata maelezoyake kutoka kwa Mtembeza watalii na kutowa historia ya Soko hilo kwa wageni hao walipofika katika eneo hilo na kujionea historia yake 
Msongamano wa magari ikiwa imeondoka katika barabara ya darajani baada ya kuhamishwa kituo cha daladala katika eneo hilo na kuonekana barabara hiyo ikiwa na harakati za kawaida, kama inavyoonekana eneo la darajani kama linavyoonekana likiwa halina msongamano wa daladala. 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.