Habari za Punde

Mandonga Mtu Kazi Apewa Elimu ya Usalama Barabarani

  
Askari wa kikosi cha usalama Barabarani Mkoa wa Songwe Koplo Rajabu Said na Konstebo Cosmas Kagiligili wakiwa na bondia maarufu wa ngumi za kulipwa nchini Karim Mandonga (Mtu Kazi) Mei 02, 2025 baada ya kumpa elimu ya usalama barabarani walipokutana naye Kata ya Mahenje akitokea Mkoa wa Mbeya na kuelekea Mji wa Tunduma Wilaya ya Momba Mkoani Songwe.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.