Taratibu za usafirishaji bidhaa kwa kutumia LETTER OF CREDIT
.Wakala wowote unapotaka kuagiza bidhaa nchini aunje ya nchi,PBZ inakuwezesha kusafirisha bidhaa nje na ndani ya nchi kupitia Letter of Credits.
.Usafirishaji Fedha ndani na nje ya nchi REMITTANCEs
. PBZ ina kuwezesha kusafirisha fedha nje na ndani ya nchi kwa haraka zaidi, salama na ufanisi wa hali ya juu kwa kutumia vifaa na Teknolojia ya kisasa.PBZ ni mwanachama wa teknolojia ya Society Worldwide Inter-bank Financial Transfer (SWIFT)
.
.Huduma zinazotolewa na idara ya hazina PBZ.
PBZ inakuwezesha kuuza na kununua fedha za kigeni (Dola ya kimarekani (USD) Euro ya Ulaya na Paundi ya Kiingereza (GBP) kwa bei nzuri, ili kufanikisha biashara zako za nje.
Tumia Benki yako ya PBZ
Benki ya Watu, Chaguo la Watu
PBZ BANK
click here www.pbzltd.com
Bofya Hapa kwahabari Zaidi. www.pbzltd.com
No comments:
Post a Comment