Habari za Punde

RAIS KIKWETE AWASILI POLAND KUHUDHURIA MKUTANO WA TABIA NCHI

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwasili jijini Warsaw, Poland, kuhudhuria mkutano wa Nchi wanachama wa Mkataba wa Kyoto kuhusu mabadiliko ya Tabia Nchi. unaoanza leo Jumanne Novemba 19, 2013
PICHA NA IKULU

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.